wana jf poleni na mihangaiko ya maisha na natumaini nyote wazima.
Naomba msaada mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaranga vya kuku wa kienyeji au machotara(nasikia nao wanafafana kitabia na wa kienyeji) yani details kama bei yao, aina ya breed na sifa/ubora wa io breeed kwa mkoa wa dar. natanguliza shukrani!