Habari, nimefanya biashara ya barafu kwa fridge za home naona zimenikolea. Sasa mwaka huu nataka kutanua biashara ninunue standing freezer. Je kama kuna MTU anayauza/ au anafahamu brand nzuri? Nb. Nimezunguka kariakoo nimekuta bei juu sana.
↧