Wadau, Salaam,
Naomba msaada wa jinsi ya kupata vifaranga vya kuku wa mayai. Mimi nipo Dar Es Salaam, natanguliza shukrani za dhati.