Mkuu, mambo vipi?
Naomba ushauri wako. Kuna eneo naweza kupata Kibondo (Kigoma), nahitaji nipande miti ya mbao.
Nimeambiwa miti hii inastawi Kibondo.
1)Acrocarpus
(2)Casuarina spp
(3)Cedrela odorata
(4)Pinus
(5)Cypres
(6)Acacia mangium
Naomba kujua kwa ujumla ni miti ya aina gani katika hiyo ina-return kubwa (yaani ina faida kubwa na ndani ya muda mfupi)?
Pia nahitaji kujua mchanganuo wa kila aina ya mti hapo juu katika vitu hivi:
(a)Inachukua miaka mingapi (minimum & maximum) kufikia...
KILIMO CHA MITI YA MBAO - KIBONDO