Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live

Account ya bank unayoweza kuweka pesa tu bila kuzitoa ni ipi?

habari wapendwa wanajamvi, wajasiriamali huwa tunaingiza pesa kidogokidogo i.e leo elfu kumi, kesho elfuhamsini n.k tofauti na mwajiriwa ambaye huweza kuingiza pesa nyingi kwa mkupuo kila mwisho wa...

View Article


Biashara ya Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na Masoko yake

Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje. Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc. By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila...

View Article


KWANINI UKOSE MATUMAINI YA KUFANIKIWA KIBIASHARA KWA SABABU ETI UNAMTAJI...

KWANINI UKOSE MATUMAINI YA KUFANIKIWA KIBIASHARA KWA SABABU ETI UNAMTAJI KIDOGO WA FEDHA!!!! Leo ningependa nizungumzie uwezekano wa kufanya biashara na kufanikiwa wakati ukiwa na mtaji mdogo wa pesa....

View Article

Kwanini ukose matumaini ya kufanikiwa kibiashara kwasababu una mtaji kidogo...

KWANINI UKOSE MATUMAINI YA KUFANIKIWA KIBIASHARA KWA SABABU ETI UNAMTAJI KIDOGO WA FEDHA!!!! Leo ningependa nizungumzie uwezekano wa kufanya biashara na kufanikiwa wakati ukiwa na mtaji mdogo wa pesa....

View Article

Ufugaji wa kisasa wa samaki: Utaalamu na Masoko

Tujifunze kuhusu ufugaji wa samaki wa kisasa ambao hufanyika kwenye mabwawa ya kuchimbwa au visima na vitu vingine vinavofanana na hivyo. Kuna aina nyingi za samaki wa maji baridi ambao wanaweza...

View Article


Kwa nini Nyanya chungu (Ngogwe) ni zao lisilovuma?!

Linapokuja suala la ujasiliamali ni mazao yenye majina makubwa tu kama matikiti, vitunguu na Tomato hutajwa! Nyanya chungu ni zao lisilovuma sana japo linawatoa sana wakulima na linawalaji wengi sana....

View Article

Special offer ya kutengeneza mchanganuo wa mahesabu (Business Plan)

Una mradi wowote ule unaotaka kuuandikia mchanganuo wa mahesabu? Natoa special offer kwa mwezi huu wa February 2016 kukutengezea mchanganuo wako wowote ule kwa Sh 300,000 tu. Kwa wale waliopo Dar,...

View Article

Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Habari za asubuhi. Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya...

View Article


Wafuga nguruwe wote karibuni hapa

Kama wewe ni mfugaji wa nguruwe au upo kwenye mchakato wa kuanza kufuga nguruwe hongera sana kwakuwa naamini ya kwamba nguruwe ni moja kati ya miradi ambayo inalipa sana endapo itafanywa kwa umakini na...

View Article


Kusafirisha Dagaa kutoka Bukoba, soko lake likoje?

Salaam wakuu. Nina mpango wa kuwa nasafirisha dagaa kutoka Bukoba kuleta Dar. Mwenye information kuhusu soko la dagaa hapa mjini naomba anijuze, maeneo gani naweza kuuza hawa dagaa. Niko interested...

View Article

Tajirika kwa kujishughulisha na Ufugaji wa Mbuzi, tambua mbinu Bora za ufugaji .

Kwa mara nyingine tena, leo nimeona haja ya kuanzisha mada nyingine na tujadiliane kwa pamoja juu ya ufugaji wa mbuzi baada ya kujadili kwa muda mrefu ile mada ya ufugaji wa kuku http://Ni kwa...

View Article

Wekeza laki tatu irudi laki nne kwa wiki tatu

tutakutana eneo la fursa,ntakupa mchanganuo wa awali.baada ya ela yako kurudi.kama utapenda tufanye pamoja kama parners tutafanyaja pamoja.eneo ni pwani.mradi wa huakika.kwa maelezo zaidi karibu pm.pia...

View Article

Msaada: Soko la matikiti maji

NIMELIMA MATIKITI HEKA 3 NATAFUTA WATEJA WA JUMLA ANAYEHITAJI ANICHEKI NO 0657723172

View Article


Surveyed plots in kigamboni

Salama kabisa! Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE. Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji. Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi. Kutoka ferry 1. Kimbiji...

View Article

Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa...

NEW, NEW, NEW, NEW.. TAREHE; 14 DISEMBA 2015. SOMO LA NNE (4) . Denguwe/Kanitangaze/Tuta Absoluta LEO TUTAJIFUNZA KWA KIFUPI KUHUSU MDUDU AITWAYE DENGUWE/KANITANGAZE/TUTA ABSOLUTA KIASILI/KIHISTORIA...

View Article


KILIMO CHA MITI YA MBAO - KIBONDO

Mkuu, mambo vipi? Naomba ushauri wako. Kuna eneo naweza kupata Kibondo (Kigoma), nahitaji nipande miti ya mbao. Nimeambiwa miti hii inastawi Kibondo. 1)Acrocarpus (2)Casuarina spp (3)Cedrela odorata...

View Article

naomba msaada wakujua

ni vitu gani vinahitajika ili nifungue internet cafe itakayokuwa inatumia kompyuta nne

View Article


Je wazo langu hili likoe?

Mambo vp wana Jf? Mtu mmoja alisema kila kitu hapaduniani kishafanywa ila wewe fanya lakini fanya kwa uzuri yaani “DO IT BETTER” Siku moja niliamua kwenda gulioni kununua Shuka kwa ajili yakutandika...

View Article

Binti wa kuuza duka la dawa

Nahitaji binti wa kuuza duka la dawa lipo tegeta ni jipya bado hivo ninapenda mtu toka mwenge ubungo bunju mwananyamala ambapo anauhakika wa kupanda gari moja tuu anicheki awe na cheti cha tfda i mean...

View Article

CANON

Natafuta Complete Heater Unit Canon NP 6210. ...kama unayo ni PM tufanye biashara 0716646576

View Article
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>