KWANINI UKOSE MATUMAINI YA KUFANIKIWA KIBIASHARA KWA SABABU ETI UNAMTAJI KIDOGO WA FEDHA!!!!
Leo ningependa nizungumzie uwezekano wa kufanya biashara na kufanikiwa wakati ukiwa na mtaji mdogo wa pesa. Kabla sijaanza ningependa nitoe maana ya haya maneno muhimu yatakayotuongoza kutokana na Mimi binafsi nielewavyo na kutokana na uzoefu nionao katika biashara.
MATUMAINI ni ile hali ya kuamini kuwa kunakitu kizuri kitatokea,matumaini hukupatia faraja,nguvu na ari ya kusonga mbele ktk...
Kwanini ukose matumaini ya kufanikiwa kibiashara kwasababu una mtaji kidogo wa fedha