Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Wafuga nguruwe wote karibuni hapa

$
0
0
Kama wewe ni mfugaji wa nguruwe au upo kwenye mchakato wa kuanza kufuga nguruwe hongera sana kwakuwa naamini ya kwamba nguruwe ni moja kati ya miradi ambayo inalipa sana endapo itafanywa kwa umakini na usimamizi mzuri.

Moja ya njia ya kufanya nguruwe wako wawe na afya bora ni kuwaepusha na magonjwa mbalimbali ikiwamo minyoo, nguruwe si mnyama rahisi sana kupata magonjwa lakini usipokuwa makini akipata magonjwa watadumaa hawatakuwa vizuri na hivyo kukupa hasara kwakuwa itakubidi uuze kwa bei...

Wafuga nguruwe wote karibuni hapa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>