Nahitaji binti wa kuuza duka la dawa lipo tegeta ni jipya bado hivo ninapenda mtu toka mwenge ubungo bunju mwananyamala ambapo anauhakika wa kupanda gari moja tuu anicheki awe na cheti cha tfda i mean ADO ni muhimu sana mshahara tutaongea nae kabla hatujaanza kazi check me kwa namba hii nitumie sms 0652 060181
↧