Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Je wazo langu hili likoe?

$
0
0
Mambo vp wana Jf?


Mtu mmoja alisema kila kitu hapaduniani kishafanywa ila wewe fanya lakini fanya kwa uzuri yaani “DO IT BETTER”

Siku moja niliamua kwenda gulioni kununua Shuka kwa ajili yakutandika kitanda changu. Katika kuchagua chagua nikaona Shuka zuri kweli kweli, hakika lilinipendeza machoni kwa rangi zake zenye maua mazuri na ndipo nikaamua kulinunua kwa bei ya kawaida mno(Tsh 6000).

Nilipofika nyumbani baada ya kutoka huko ghulioni nikalifua nakulianika ili niweze...

Je wazo langu hili likoe?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles