Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live

Kilimo cha Ndizi ni Umilionea

mi napenda kuangalia ukulima wa mazao mbalimbali. kuhusu ndizi nikapata habari zilizonipendeza nikasema nishirikiane nanyi. ukipanda ndizi leo itachukua kati ya miezi kumi hadi kumi na mbili kuzaa...

View Article


Nimetunga vitabu vya mapishi zaidi ya mapishi 300

Waungwana mimi Nina kipaji cha utungaji wa vitabu vya mapishi.Nimakabiliwa na changamoto ya kifedha na hatua muhimu zakufanya kitabu kiingie sokoni na kuuzwa.Kama Una msaada wa mawazo au kifedha...

View Article


Ushauri wenu tafadhali

Habarini za humu wakuu moja kwa moja niende kwenye mada..... jamani sisi tupo watu tisa kwenye kundi letu kwa mwaka sasa tumekua lakini tumekua tukijaribu kufanya shughuli mbali mbali lakini bado...

View Article

Call for EoI: UNICEF Innovation Fund

UNICEF is inviting technology start-ups developing solutions with the potential to improve the lives of the world’s most vulnerable children to apply for funding from its recently launched Innovation...

View Article

Kwa wafugaji wa kuku wa kisasa

Hey JF Members. Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. naona soko la kuku ni kubwa sana. hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya...

View Article


Natafuta Chumba au sehemu ya kufungua Maabara Jijini Mwanza.

Wakuu, heshima kwenu. Mimi ni mjasiriamali niko Mwanza mjini, Natafuta Chumba cha kupanga Jijini Mwanza kwa ajili ya kufungua Mgahawa wa kuuza chakula. Kwa ambae anaweza kunisaidia kupata Chumba au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Anti Sadaka awataka wanawake wa Zanzibar kuchangamkia fursa

Mwanasaikolojia Anti Sadaka amewafunda wanawake wa Zanzibar wanaoshiriki mafunzo ya ujasiriamali ya kujikita katika biashara ya Vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanaendeshwa na wataalamu...

View Article

Kikokotozi kwa ajili ya kukadiria ulishaji wa kuku watagaji

Updated. KWA ANAYEHITAJI KIKOKOTOZI CHA HESABU ZA UFUGAJI WA KUKU BASI AWASILIANE NAMI 0752 693 692 Utapewa Bure 1. Kukokotoa kwa uhakika kiasi cha chakula kinachohitajika na kuku kulingana na umri wa...

View Article


NEW NEW; VIUATILIFU 2/01/2016

HERI YA MWAKA MPYA Nimeanzisha uzi mpya maana nimeshindwa kuendeleza kutoka ule wa awali huwezi kuuedit kwa hii new format ya JF, ukiuedit unataka maneno yasiyozidi 2000, hata hayo pia hayakubali HATA...

View Article


Kuacha kazi kufanya ujasiriamali

Hbr wadau? Mimi nimeajiriwa nina mshahara wa 570,000. ni mwaka wa tatu sasa tangu nianze kazi lakin sioni mafanikio yoyote zaidi ya kulipa kodi, kununua chakula na kumhudumia kidogo mke wng mtarajiwa...

View Article

Kuagiza Mzigo Nje Ya Nchi

Salama Wakuu. Nahitaji Kupata Taarifa Za Unafuu. Ubora Na Sehem Au Nchi/jimbo Ambalo Naweza Kwenda Na Kununua Vifaa Vya Hardware Ikiwa Ni Pamoja Na Vifaa Vya Umeme. Natumai Wale Wadau Wa Ujenzi Na...

View Article

Deo agro campany

DEO AGRO COMPANY Ni kampuni mpya ambayo inajihusisha na mambo ya kilimo, kwa sasa imeanza na kilimo cha cha mbogamboga na matunda, kwa kua ndio imeanza imekodi hekari sita kwa miaka mitatu na inatumia...

View Article

Msaada namna ya kuanzisha Kiwanda Kidogo cha Uchapishaji Vitabu (Micro Press).

Wakuu Salaam, Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha uchapishaji vitabu (Micro Press). Ninaomba msaada kwa mwenye uzoefu na shughuli hizi katika mambo yafuatayo: 1. Aina za Mashine za muhimu kuwa...

View Article


Zingatia haya unapotaka kusajili kampuni

ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUSAJILI KAMPUNI 1. Jina. Unapotafuta jina jitahidi jina liwe linatamkika kirahisi ili isikusumbue katika marketing lakini kikubwa ni maana ya jina. Kuna maneno mengine ni...

View Article

MGE INCUBATOR

Tunapenda kuwatangazia wafugaji kuwa tumebuni mashine nzuri ya kutotoleshea mayai inayotumia mafuta ya taa,au umeme wa solar. KWA ANAEHITAJI,afike ofisini mburahati dsm,au apige simu kuweka oda...

View Article


Account ya bank unayoweza kuweka pesa tu bila kuzitoa ni ipi?

habari wapendwa wanajamvi, wajasiriamali huwa tunaingiza pesa kidogokidogo i.e leo elfu kumi, kesho elfuhamsini n.k tofauti na mwajiriwa ambaye huweza kuingiza pesa nyingi kwa mkupuo kila mwisho wa...

View Article

Je wazo langu hili likoe?

Mambo vp wana Jf? Mtu mmoja alisema kila kitu hapaduniani kishafanywa ila wewe fanya lakini fanya kwa uzuri yaani “DO IT BETTER” Siku moja niliamua kwenda gulioni kununua Shuka kwa ajili yakutandika...

View Article


Jinsi ya kujenga biashara yako ukiwa umeajiriwa

View attachment 319004 Watu wengi wana ndoto za kuacha kazi zao za kuajiriwa ili waweze kuanzisha biashara zao. Wajasiriamali wengi waliofanikiwa iliwalazimu kuendelea na kazi zao za kuajiriwa mpaka...

View Article

Ufugaji wa kisasa wa samaki: Utaalamu na Masoko

Tujifunze kuhusu ufugaji wa samaki wa kisasa ambao hufanyika kwenye mabwawa ya kuchimbwa au visima na vitu vingine vinavofanana na hivyo. Kuna aina nyingi za samaki wa maji baridi ambao wanaweza...

View Article

msaada wa kufungua kampuni ya usafi

habari zenu wanajukwaa,nina mpango wa kufungua kampuni ya usafi majumbani,maofisini na mitaani kwenye barabara n.k kwa kushirikiana na jamaa yangu mmoja, so naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa gharama...

View Article
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>