Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Jinsi ya kujenga biashara yako ukiwa umeajiriwa

$
0
0
View attachment 319004

Watu wengi wana ndoto za kuacha kazi zao za kuajiriwa ili waweze kuanzisha biashara zao. Wajasiriamali wengi waliofanikiwa iliwalazimu kuendelea na kazi zao za kuajiriwa mpaka pale walipoona biashara zao zimesimama ndipo walipolazimika kuacha kazi ya kuajiriwa. Kipindi hiki cha mpito ni kigumu na chenye kuleta usumbufu hasa kama kazi hiyo ya kuajiriwa hauipendi.
Wakati tamaa ya mafanikio ni muhimu,si mara zote inatosha kukuwezeshausonge mbele kimafanikio....

Jinsi ya kujenga biashara yako ukiwa umeajiriwa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>