habari wapendwa wanajamvi, wajasiriamali huwa tunaingiza pesa kidogokidogo i.e leo elfu kumi, kesho elfuhamsini n.k tofauti na mwajiriwa ambaye huweza kuingiza pesa nyingi kwa mkupuo kila mwisho wa mwezi.Hali hii inaweza kuathiri kutimiza malengo ya manunuzi ya vitu mbalimbali kwani kwa mwajiriwa kama kapanga mwisho wa mwezi ujao anataka anunue baiskeli,malengo hayo yatakuwa rahisi kutimia kwa mwajiriwa kwakuwa pesa yake ni ya mkupuo lakini kwa mjasiriamali ni ngumu kutimiza malengo kama...
Account ya bank unayoweza kuweka pesa tu bila kuzitoa ni ipi?
Account ya bank unayoweza kuweka pesa tu bila kuzitoa ni ipi?