Tunapenda kuwatangazia wafugaji kuwa tumebuni mashine nzuri ya kutotoleshea mayai inayotumia mafuta ya taa,au umeme wa solar.
KWA ANAEHITAJI,afike ofisini mburahati dsm,au apige simu kuweka oda yake.Mashine ya mayai mia hamsini tunaunda kwa laki tano kamili ikiwa na option zote mbili.
Mashine zimefanyiwa majaribio na zinatotolesha kwa asilimia 100.
Kwa sasa sisi MGE tuna haki ya kutamba na kunadi mashine zetu kwani zinaaminika,na tunasema incubator zetu tumeziboresha sana kuanzia mwezi nov...
MGE INCUBATOR