Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Zingatia haya unapotaka kusajili kampuni

$
0
0
ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUSAJILI KAMPUNI

1. Jina. Unapotafuta jina jitahidi jina liwe linatamkika kirahisi ili isikusumbue katika marketing lakini kikubwa ni maana ya jina. Kuna maneno mengine ni matusi kwa lugha nyingine, hivyo jitahidi sana kufanya utafiti wa kina wa jina hilo.

2. Mtaji: Maamuzi ya mtaji kiasi gani kiandikishwe ni jambo la msingi sana. Wengi hupenda kuweka mtaji mdogo ili kupunguza gharama za usajili na kodi, vema, lakini hicho kisiwe kigezo mama cha kukuamulia mtaji uwe...

Zingatia haya unapotaka kusajili kampuni

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>