mi napenda kuangalia ukulima wa mazao mbalimbali. kuhusu ndizi nikapata habari zilizonipendeza nikasema nishirikiane nanyi.
ukipanda ndizi leo itachukua kati ya miezi kumi hadi kumi na mbili kuzaa mkungu. pia itategemea hali ya maji maana ndizi zinahitaji maji mengi sana. ukishuvuna mkungu huo mmea unaukata na itachukua miezi mingine kama hiyo kwa machipukizi ya ndizi kuvunwa. kuvuna huku kunaweza endelea kwa miaka 25 hapo ndio mtu unaweza kutoa mimea yote na kuanza upya. twende kwenye...
Kilimo cha Ndizi ni Umilionea