DEO AGRO COMPANY
Ni kampuni mpya ambayo inajihusisha na mambo ya kilimo, kwa sasa imeanza na kilimo cha cha mbogamboga na matunda, kwa kua ndio imeanza imekodi hekari sita kwa miaka mitatu na inatumia drip irrigation katika umwagiliaji,inazalisha mchicha, nyanya vitunguu, tikitimaji, karot,cabbage na matango. mazao haya yanazalishwa kwa awamu, lakini kwa mpango wa baadae tunawaza kuwa wasambazaji wa mazao ya kilimo,...
Deo agro campany