![[IMG]](http://1.bp.blogspot.com/-XlKQQLcHjZ4/VrGbCgpH-NI/AAAAAAAAI0U/soQOCjdW5Nk/s640/49b24f4d-6ec2-4465-964f-0c2b88eb93b0.jpg)
Mwanasaikolojia Anti Sadaka amewafunda wanawake wa Zanzibar wanaoshiriki mafunzo ya ujasiriamali ya kujikita katika biashara ya Vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanaendeshwa na wataalamu kutoka taasisi ya Manjano...
Anti Sadaka awataka wanawake wa Zanzibar kuchangamkia fursa