Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Nani apange bei ya zao lako. Kwa nini tumbe serikali itupangie bei

$
0
0
Hivi kwani huyo kiongozi ama waziri ama mkurugenzi wa Wilaya alikuwepo wakati unaandaa mpango wako W Biashara?!

Ndugu wakulima na Wajasiriakilimo wenzetu naomba tuamke tujue biashara zetu tuwawezeshe wakulima na Vikundi vya wakulima kujua namna ya kupanga bei na hata kutoa mapendekezo ya bei elekezi.

Usiinhie shambani ama kuwekeza pasina kupanga bei ya kuuzia kulingana na soko unalotaka (bei inategemeana na umbali, ubora na aina ya uzao wako).

Tuwatake watendaji na hata wakulima na...

Nani apange bei ya zao lako. Kwa nini tumbe serikali itupangie bei

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>