Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live
↧

Kwa wafugaji wa kuku wa kisasa

Hey JF Members. Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya...

View Article


Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Jamani habarini za wikiendi, naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi...

View Article


Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

Habari wakuu....... Itifaki imezingatiwa! Rejea kichwa hapo juu! Nianze na swali hili hivi ni biashara gani au kwa kiwango gani au kwa plan gani mfanyabiashara anaweza kurtengeneza pesa hiyo kuanzia...

View Article

Nani apange bei ya zao lako. Kwa nini tumbe serikali itupangie bei

Hivi kwani huyo kiongozi ama waziri ama mkurugenzi wa Wilaya alikuwepo wakati unaandaa mpango wako W Biashara?! Ndugu wakulima na Wajasiriakilimo wenzetu naomba tuamke tujue biashara zetu tuwawezeshe...

View Article

Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa...

NEW, NEW, NEW, NEW.. TAREHE; 14 DISEMBA 2015. SOMO LA NNE (4) . Denguwe/Kanitangaze/Tuta Absoluta LEO TUTAJIFUNZA KWA KIFUPI KUHUSU MDUDU AITWAYE DENGUWE/KANITANGAZE/TUTA ABSOLUTA KIASILI/KIHISTORIA...

View Article


Kilimo cha pasheni msada

Wakuu, Nina hekta takribani 30 mkoani Pwani kuna miti mingi ya asili, Nahitaji kulima mapasheni katika mashamba hayo. Je yatachukua muda gani mpaka yazae? je yana changamoto gani mfano matunzo,...

View Article

Ufugaji wa kisasa wa samaki: Utaalamu na Masoko

Tujifunze kuhusu ufugaji wa samaki wa kisasa ambao hufanyika kwenye mabwawa ya kuchimbwa au visima na vitu vingine vinavofanana na hivyo. Kuna aina nyingi za samaki wa maji baridi ambao wanaweza...

View Article

Natafuta Mayai ya kuroiler

Habari zenu wanajamvi natafuta kununua mayai ya kuku aina ya kuroiler muuzaji a we mwanza au Dar es salaam.

View Article


Ufugaji wa Samaki

Mwenye utalaamu wa ufugaji wa Samaki anifahamishe.. Ni zao ninalolifikiria sana kulianza muda si mrefu.

View Article


Pata ushauri, michango, mawazo juu ya Ufugaji wa Samaki

Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato,...

View Article

Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

Wanajamii, Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato. Kifuniko said: ↑ Naombwa kujuzwa wana jamvi na kupewa...

View Article

Ufugaji wa bata na masoko yake

Habari great thinkers, hivi mbona sijawahi kuona ufugaji mkubwa wa hawa bata wa kienyeji na wala wakipigiwa upatu kama kuku wa kienyeji au kisasa. Ni kwamba hawana soko au lah?. Maana hata mayai ya...

View Article

Kuku wangu hawatagi, tatizo ni jogoo?

Wadau za wikiend? Nina shida naomba msaada wenu please, Hivi karibuni nimeamua nami kufuga kuku hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya kujiongezea kipato pia hata kula nyumbani. Kwa kua ndio mara yangu ya...

View Article


Tufanye biashara hii, yenye hela

View Article

Miche ya strawberry

Natafuta miche ya strawberry niko Dar es salaam

View Article


Msaada wa hatua za kuuza matunda soko la nje

Habari zenu wakuu, Nnimeanza na kupanda papai hybrid za miezi sita heka moja, baadae pasheni and etc. Kikubwa nahitaji kufika soko la nje, procedures za Tanzania na nchi za ughaibun kwa biashara za...

View Article

Tajirika kwa kufuga kuku Weusi wa malawi wanaofaa kwa kutaga na nyama

Wanakua na kufikia uzito wa kilo 4 UJASIRIAMALI ni jambo jema katika mapambano dhidi ya umasikini, lakini pia ili kuweza kuwa mjasiriamali, yanahitajika maarifa ya ziada, ikiwamo ubunifu katika...

View Article


Msaada: Kozi Fupi za Kilimo na Ufugaji

Wakuu, heshima kwenu na Heri ya Mwaka Mpya! Ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu tunakwama katika jitihada zetu za kutaka kujikwamua kupitia Ujasiriamali hususani katika shughuli za Kilimo na Ufugaji...

View Article

Kilimo cha tunda aina ya Pesheni: Utaalam na Masoko

Heshima kwanza Wakuu, nina shamba eneo la Makaa Yamu, Kirua Vunjo, wilaya ya Moshi vijijini lenye ukubwa wa ekari kumi na sita 16 (limepimwa na hati miliki) Shamba lipo kilometer nne kutoka barabara...

View Article

Kwanini serikali itupangie bei ya mazao yetu?

Hivi kwani huyo kiongozi ama waziri ama mkurugenzi wa Wilaya alikuwepo wakati unaandaa mpango wako W Biashara?! Ndugu wakulima na Wajasiriakilimo wenzetu naomba tuamke tujue biashara zetu tuwawezeshe...

View Article
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>