Wakuu, heshima kwenu na Heri ya Mwaka Mpya!
Ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu tunakwama katika jitihada zetu za kutaka kujikwamua kupitia Ujasiriamali hususani katika shughuli za Kilimo na Ufugaji kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutokuwa na Elimu ya kutosha katika shughuli hizo. Matokeo yake kufanya shughuli hizo kwa kubahatisha, ujanjaujanja, kwa kukosa Tija na hatimaye kupoteza mwelekeo na kukata tamaa.
Kwa mantiki hiyo, mimi binafsi (Mstaafu Mtarajiwa) nimekuwa na utashi wa...
Msaada: Kozi Fupi za Kilimo na Ufugaji