Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze...
Baada ya kumaliza degree yangu ya pili na kuona kuwa ajira kama ajira haiwezi kuwa mkombozi wangu kiuchumi niliamua nifatilie mawazo mbalimbali ya ujasiriamali. Nikafikiria ujasiriamali wa kiubunifu wa...
View ArticleVijana masomi waeleza wanavyofanikiwa katika kilimo cha vitunguu
VIJANA wasomi wanaounda Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Tanzania (TAYODA) wameeleza mafanikio wanayopata baada ya kuamua kujikita katika kilimo cha vitunguu tangu mwaka 2013, muda mfupi baada ya...
View ArticleJIFUNZE: Kilimo bora cha zao la SOYA
View attachment 331993 Zao la Soya lina protini nyingi yenye ubora wa hali ya juu kuliko iliyoko katika aina nyingine ya mazao ya mimea. Kiasi cha protini katika soya inazidi hata kiasi cha protini...
View ArticleZijue Mbinu zangu: Ufugaji Kuku wa Kienyeji
Wana Jf, Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga...
View ArticleNatafuta soko la mihogo
Wadau naomba kupata msaada wa solo la muhogo. Nimelima muhogo natarajia kuanza kuvuna mwezi wa sita na wa saba. Shida Yangu ni kupata soko ambalo litaniwezesha kuuza kwa pamoja.
View ArticleKilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
Jamani habarini za wikiendi, naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi...
View ArticleJe, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa...
NEW, NEW, NEW, NEW.. TAREHE; 14 DISEMBA 2015. SOMO LA NNE (4) . Denguwe/Kanitangaze/Tuta Absoluta LEO TUTAJIFUNZA KWA KIFUPI KUHUSU MDUDU AITWAYE DENGUWE/KANITANGAZE/TUTA ABSOLUTA KIASILI/KIHISTORIA...
View ArticleMazao ya kulima kwa mkoa wa Kilimanjaro
Habari, waheshimiwa naomba msaada kwa wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro natarajia kuhamia mkoani humo kwenye mwezi wa 5. Naomba kujua mazao yanayolimwa katika mkoa huo pamoja na upatikanaji wa mashamba....
View ArticleManufaa ya Ujasiliamali kwa njia ya mtandao
Mimi ni Mtanzania mjasiliamali mchoraji wa nembo (logo). Hapa nakuonesha baadhi ya kazi ambazo nimewafanyia wateja mbalimbali kutoka nje ya nchi katika kipindi kifupi. Hii ni changamoto kwa...
View ArticleNatafuta steroid inaitwa trenbolone acetate
Kama kichwa kinavyoeleza....natafuta hiyo kitu kwa ajili ya kuwapa ng`ombe uli wawe wanafanya metabolism kwa haraka....mwenye info zaidi ani pm.....thanks
View ArticleUfugaji wa Nguruwe: Utaalam na Masoko
View attachment 324772 - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,...
View ArticleKilimo cha miwa kwa biashara
Wakuu heshima kwenu, Naomba kufahamu kuhusu zao hili, kama upatikanaji wa mbegu, muda wa kukomaa tangu kupandwa, heka moja kwa wastani unaweza kupata miwa kiasi gani, na kiasi gani cha pesa kinatosha...
View ArticleUshauri kuhusu Kilimo cha Umwagiliaji
Ndg wanajamvi, natumai hamjambo. Ninahitaji mshauri katika mambo ya kilimo cha umwagiliaji. Contact me via inbox. Karibu na asante sana, Josam
View ArticleVIJANATURUDI VIJIJINI TUNUNUE ARDHI YA KILIMO IPO.
VIJANA TURUDI VIJIJINI TUNUNUE ARDHI Na Eng AYUB MASSAU Habari ndugu watanzania popote mlipo katika kuijenga nchi yetu ya Tanzania na kuhakikisha tunafikia nchi ya uchumi wa kati kama dira ya Taifa ya...
View ArticleMsada juu ya Ndagu
Ni kwa bahati mbaya nilipojaza kifusi ndani ya garden yangu kumekuwa na ndagu nyingi sana. Hizi ndagu inaonekana zililetwa na hicho kifusi.Nimejaribu kuzign'oa lakini bado zipo na zimenikatisha tamaa...
View ArticlePata kisima kwa umwaligiliaji shambani kwako
Ile kampuni yako pendwa ya uchimbaji wa visima (water well and borehole drilling) inakuja kivingine kwa bei za kumsaidia mteja,Hii ni bei mpya ipo miongoni mwa bei zetu tulizonazo 1: Tsh 40000; kwa bei...
View ArticleVijana turudi vijijini tununue ardhi ya kilimo
VIJANA TURUDI VIJIJINI TUNUNUE ARDHI Na Eng AYUB MASSAU Habari ndugu watanzania popote mlipo katika kuijenga nchi yetu ya Tanzania na kuhakikisha tunafikia nchi ya uchumi wa kati kama dira ya Taifa ya...
View ArticleNatafuta anayeuza mayai ya kisasa
Habarin wana jf natafuta mfugaji wa kuku anaeuza mayai kwa bei ya jumla nipo dar es salaam Boko namba yangu n 0658936439
View ArticleNipo kikazi Kanda ya Ziwa; Kwa ushauri kuhusu ufugaji kuku na mashine za...
Habari,kwa sasa nipo kikazi kanda ya ziwa,kwa anaetaka tuonane anaweza akawasiliana nami kwa simu namba 0784413039.Natarajia kurudi Dsm siku ya ijumaa. Mikoa ninayotembelea ni Mara,Mwanza,na bukoba....
View ArticleMradi wa utotoleshaji wa vifaranga unalipa
Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka...
View Article