Mimi ni Mtanzania mjasiliamali mchoraji wa nembo (logo). Hapa nakuonesha baadhi ya kazi ambazo nimewafanyia wateja mbalimbali kutoka nje ya nchi katika kipindi kifupi. Hii ni changamoto kwa wajasiliamali wote nchini.
Msingi mkubwa wa mafanikio ni ubora wa kazi au bidhaa yako; kujiamini; kumsikiliza mteja na kujitahidi kumridhisha na uaminifu uaminifu uaminifu.
Kisha fanya juhudi kubwa katika ya kujitangaza. Na zingatia ubora wa matangazo yako (na yasiwe na maneno meengi yasiyona msingi)...
Manufaa ya Ujasiliamali kwa njia ya mtandao