Wazoefu wa incubator mashine njooni mnipe ushauri
Nimenunua incubator machine yenye uwezo wa mayai 700. Nimeweka mayai, ila kati ya 700 nimepata vifaranga 300 tuu. Binafsi sijafurahi kwa sababu matarajio yangu yalikuwa at least 500. Kuna mayai mpaka...
View ArticleBiashara ya HARDWARE
Salaam wakuu, binafsi nimekuwa na wazo la kufungua duka la hardware jijini Mwanza katika maeneo ambayo mji ndio unajengeka. Je, nitawezaje kupata reliable source nzuri ya mahitajio/bidhaa ili nami...
View ArticleUshauri kuhusu biashara ya Nafaka
Habarin ndugu zangu me ni mfanya biashara nafanya biashara ya nafaka na kukufikia popote ulipo na pia kwa ushaur wa biashara ya nafaka pls contact me thru +255719553454/ +255787607207 / +255758909041...
View ArticleNaomba ushauri wa kozi hii: Basic technician in animal health and production
Hii kozi unaweza fanya kazi sehemu zipi baada ya kumaliza masomo??? je unaweza pata ajira???? private or serikalini??? ina soko la ajira???
View ArticleNjoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja
Habari wakuu....... Itifaki imezingatiwa! Rejea kichwa hapo juu! Nianze na swali hili hivi ni biashara gani au kwa kiwango gani au kwa plan gani mfanyabiashara anaweza kurtengeneza pesa hiyo kuanzia...
View ArticleNatafuta Mbegu ya Vitunguu Maji
Nipo Meatu kwa Muda,ila Nyumbani ni Iramba! Naitaji Mbegu Ya Vitunguu ya Kutosheleza Heka Moja! Mwenye Nayo Naomba Anipe Bei Tufanye Biashara
View ArticleKilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na masoko
Wakuu salamu. Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji....
View ArticleWanunuzi wa Mbaazi wa AZAM
Wana Jf nauza mbaaz kuna mtu aliniambia kuwa AZAM wananunua kwa bei nzuri ila kwa sasa hawapo Dar wako mashambani na me sina mawasiliano yao hvyo naomba msaada kwa yeyote mwenye mawasiliano yao...
View ArticleVijana wasomi waeleza wanavyofanikiwa katika kilimo cha vitunguu
VIJANA wasomi wanaounda Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Tanzania (TAYODA) wameeleza mafanikio wanayopata baada ya kuamua kujikita katika kilimo cha vitunguu tangu mwaka 2013, muda mfupi baada ya...
View ArticleNatafuta soko la mihogo
Wadau naomba kupata msaada wa solo la muhogo. Nimelima muhogo natarajia kuanza kuvuna mwezi wa sita na wa saba. Shida Yangu ni kupata soko ambalo litaniwezesha kuuza kwa pamoja.
View ArticleKwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko
Habari wana jf, katika kukimbizana na maisha ninampango wa kulima mbaazi na choroko mkoani mtwara, zinastawi sana. nipo katika mchakato wa kujua soko/wanunuzi wakubwa hapa nchini ili niwe na uhakika na...
View ArticleNatafuta mtu wa kufuga nae Nguruwe wa kisasa Kilimanjaro
Habari zenu Wadau Nimesoma mabandiko mbalimbali ya ufugaji wa nguruwe wa kisasa...nimekuwa nikijikongoja kupata mtaji na nimefanikiwa kupata Mtaji wa 2.5m..sasa natafuta Partner wa kufanya nae hiyo...
View ArticleZijue Mbinu zangu: Ufugaji Kuku wa Kienyeji
Wana Jf, Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga...
View ArticleKilimo cha miti ya mbao - Kibondo
Mkuu, mambo vipi? Naomba ushauri wako. Kuna eneo naweza kupata Kibondo (Kigoma), nahitaji nipande miti ya mbao. Nimeambiwa miti hii inastawi Kibondo. 1)Acrocarpus (2)Casuarina spp (3)Cedrela odorata...
View ArticleMsaada juu ya Ndago
Ni kwa bahati mbaya nilipojaza kifusi ndani ya garden yangu kumekuwa na ndagu nyingi sana. Hizi ndagu inaonekana zililetwa na hicho kifusi.Nimejaribu kuzign'oa lakini bado zipo na zimenikatisha tamaa...
View ArticleJe wewe ni mjasiriamali au unautaka ujasiriamali?
Katibu katika kundi kubwa la wajasiriamali. Tulikua whatsapp ila sasa tumehamia telegram kwa sababu group la whatsapp lilijaa watu 256 hivyo tumehamia telegram inayochukua watu wengi zaidi. Kwa sasa...
View ArticleNahitaji Supplier wa kuku wa kienyeji kutoka Singida
Habari wana bodi Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida. Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki. Mtu ambaye yupo Singida na anaweza kufanya...
View ArticleNanunua mayai ya jumla ya kisasa-Dodoma
Natafuta mfugaji wa kuku anayeuza mayai ya kisasa kuanzia treyi 10, bei shillingi 6,000 kwa treyi. Muuzaji awe dodoma, kama unayo nicheki 0714112838. Thanks in advance
View Article