Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Natafuta mtu wa kufuga nae Nguruwe wa kisasa Kilimanjaro

$
0
0
Habari zenu Wadau
Nimesoma mabandiko mbalimbali ya ufugaji wa nguruwe wa kisasa...nimekuwa nikijikongoja kupata mtaji na nimefanikiwa kupata Mtaji wa 2.5m..sasa natafuta Partner wa kufanya nae hiyo biashara husasani aliye Mkoa wa Kilianjaro,Wilaya ya Siha au Hai na akiwa na eneo au mabanda itakuwa ni vema zaidi.....aliye serious naomba aniPm...mimi ni muajiriwa wa serikali na details nyingine tutazidi kufahamiana...Ahsante

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Latest Images

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>