Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live
↧

Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa...

NEW NEW NEW......12/05/2016 SALAAMU....... Yafuatayo ni baadhi ya maswali yahusuyo kilimo ambayo wadau mbali mbali wamekuwa wakiniuliza mara kwa mara.Si vibaya nikishare hapa ili na wale wengine ambao...

View Article


Mazao ya kulima kwa mkoa wa Kilimanjaro

Habari, waheshimiwa naomba msaada kwa wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro natarajia kuhamia mkoani humo kwenye mwezi wa 5. Naomba kujua mazao yanayolimwa katika mkoa huo pamoja na upatikanaji wa mashamba....

View Article


Mafuta ya mawese

Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya. Tafadhali anaefahamu yanapouzwa/kama unauza ni sh.ngapi kwa dumu la lita 20.

View Article

msaada plz hivi kozi ya basic technician in animal health and production

Hii kozi inasomwa miaka mingapi chuo cha LITI,MOROGORO NA MPWAPWA?

View Article

Namtafuta mtu mwenye utaalam na Matikiti maji

Ndugu habari za mihangaiko.. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye nia ya kuona kila mmoja wetu anafanikiwa ktk malengo au kusaidiana ktk ajira ndogondogo. Tafadhali natafuta kijana mwenye ujuzi na...

View Article


Natafuta mtu wa kufuga nae nguruwe

Habari zenu wakuu, Nina mpango wa kufuga nguruwe lakini nina changamoto moja kubwa ninayoipata hivyo nahitaji mtu wa kuingia nae ubia tufanye pamoja. Vigezo: i. Huyo mtu awe na eneo la kufugia ii. Hilo...

View Article

Biashara ya spare za magari Dar es salaam

Habari za jioni wadau, Baada ya kufanya kazi kwa muda mreu na kutafuta mtaji wa biashara,Nimeamua kujiajiri na nimeazimia kufungua biashara ya spare za magari,Naomba kujua kwa wenye uzoefu na hii...

View Article

Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Utaalam na Masoko

Anayejua elimu/ujuzi wa ufugaji wa Nyuki, Mizinga bora,ulinaji asali na soko la asali atupe elimu. Natamani kufanya biashara hii. =========== Ericus Kimasha stineriga said: ↑ ..1. Naomba ufafanuzi...

View Article


Unataka kuwa tajiri? - Mwongozo kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji

Pengine umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za umaskini. Yako mambo mengi ya kufanya mimi nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu tena kwa uchache. Jambo hili...

View Article


Natafuta mtaalam wa kilimo & ufugaji.

Hellow JF members,Mimi ni mwajiriwa wa kampuni binafsi..kiukweli nimejibana bana hadi nimenunua shamba (Ingawa ni dogo) heka 2,plan yangu ni kulima mahindi na kufuga kuku wa kienyeji,hivyo nahitaji...

View Article

Digital currency, cryptocurrencies....Bitcoins

How much do you know about the new era of internet-based medium of exchange?

View Article

Kilimo: Miti aina ya mifudufudu

siku chache zilizopita nilienda pale Balton (njia ya Coca cola Dar) kufuatilia agricultural inputs mbalimbali, bahati nzuri nilikutana na mzee mmoja ambaye tuliongea mengi sana. Mojawapo ya kssue...

View Article

kilimo cha bamia & matikiti

Nataka kufanya hiki kilimo but nimepata changamoto ya kuipata eneo. Mi naish DSM nlienda kule Kimbiji Kijaka.. But nlishauriwa hakuna rutuba na kilimo ni challenge kidogo. Nikashauriwa niende Mwasonga....

View Article


Kilimo cha mahindi kibiashara wakati wa kiangazi

Wadau habari!kwa wale wajasili wa kutafuta mali wenzangu,wenye idea na kilimo cha biashara ya mahindi mabichi kipindi cha kiangazi naomba tusaidiane mawazo!je ni kweli kilimo na biashara ya mahindi...

View Article

Digital currency, cryptocurrencies....Bitcoins

View Article


Vijana turudi vijijini tununue ardhi ya kilimo

VIJANA TURUDI VIJIJINI TUNUNUE ARDHI Na Eng AYUB MASSAU Habari ndugu watanzania popote mlipo katika kuijenga nchi yetu ya Tanzania na kuhakikisha tunafikia nchi ya uchumi wa kati kama dira ya Taifa ya...

View Article

Nina Supply Kuku wa kienyeji pure Biashara

Nnasaply kuku Daressalam Bei jogoo Tsh 15000 mtetea 12000 ,iila kwa Anaehitaji kuku wengi kwa kila wiki or siku kaza bei ya jumla Tsh 13000 mchanganyiko yaan matetea na majogoo Karibun no,...

View Article


Natafuta kuku / vifaranga vya kuku wa kienyeji wa mwezi mmoja Kwa Morogoro

Wakuu Nina uhitaji wa kuku wa kienyeji wa kufuga / vifaranga wenye umri WA mwezi mmoja na zaidi Kwa sehemu Za Morogoro. Kama kuna mtu anaweza kuwa nao Naomba tuwasiliane. Wanahitajika Kwa wingi.

View Article

Ushauri kuhusu kilimo cha mpunga

Nahitaj ushaur wenu.. . Ni shamba la ekari ngap naweza kutoa gunia 100 la mpunga au gunia 90 za mchele??

View Article

Natafuta shamba kwa ajili ya kilimo cha bamia & matikiti

Nataka kufanya hiki kilimo but nimepata changamoto ya kuipata eneo. Mi naish DSM nlienda kule Kimbiji Kijaka.. But nlishauriwa hakuna rutuba na kilimo ni challenge kidogo. Nikashauriwa niende Mwasonga....

View Article
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>