Habari zenu wakuu,
Nina mpango wa kufuga nguruwe lakini nina changamoto moja kubwa ninayoipata hivyo nahitaji mtu wa kuingia nae ubia tufanye pamoja.
Vigezo:
i. Huyo mtu awe na eneo la kufugia
ii. Hilo eneo liwe pembezoni mwa jiji la Dar au mkoa wa Pwani au Morogoro
Yawezekana tayari umeshaanza kufuga unahitaji mtu wa kuongeza nae nguvu
Yawezekana hujaanza ila upo mbioni kuanza ningependa tushirikiane kwa kulingana na terms na conditions ambazo utaziweka na tukakubaliana....
Natafuta mtu wa kufuga nae nguruwe