Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Biashara ya spare za magari Dar es salaam

$
0
0
Habari za jioni wadau,

Baada ya kufanya kazi kwa muda mreu na kutafuta mtaji wa biashara,Nimeamua kujiajiri na nimeazimia kufungua biashara ya spare za magari,Naomba kujua kwa wenye uzoefu na hii biashara mtaji wa 15,000,000 Tanzania shilingi unaweza kuanzia na je nikitaka kuchukua mzigo kwa jumla niende wapi kwa hapa Tanzania au kuagiza nje ya nchi ni nch gani.

Naomba kuwasilisha

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>