Anayejua elimu/ujuzi wa ufugaji wa Nyuki, Mizinga bora,ulinaji asali na soko la asali atupe elimu. Natamani kufanya biashara hii.
===========
Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Utaalam na Masoko
===========