Wadau habari!kwa wale wajasili wa kutafuta mali wenzangu,wenye idea na kilimo cha biashara ya mahindi mabichi kipindi cha kiangazi naomba tusaidiane mawazo!je ni kweli kilimo na biashara ya mahindi mabichi kipindi cha kiangazi ina tija kwa mkulima kuliko kilimo cha masika?ni changamoto zipi zitakazomkabili mkulima wa mahindi ya kiangazi!naomba kuwasilisha wadau
↧