Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau
KILIMO BORA CHA UFUTA Ufuta (sesamum indicum)ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya. Zao...
View ArticleKilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
Jamani habarini za wikiendi, naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi...
View ArticleWAPI NAWEZA PATA RENNET (KWA AJILI YA CHEESE)
Habari wanajamvi Nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu wapi naweza kupata rennet kwaajili ya matumizi ya kutengenezea cheese (specifically aina ya mozzarella).. Katika pita pita zangu naona nyingi zipo...
View ArticleBaada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze...
Baada ya kumaliza degree yangu ya pili na kuona kuwa ajira kama ajira haiwezi kuwa mkombozi wangu kiuchumi niliamua nifatilie mawazo mbalimbali ya ujasiriamali. Nikafikiria ujasiriamali wa kiubunifu wa...
View ArticleMsaada juu ya Ndago
Ni kwa bahati mbaya nilipojaza kifusi ndani ya garden yangu kumekuwa na ndagu nyingi sana. Hizi ndagu inaonekana zililetwa na hicho kifusi.Nimejaribu kuzign'oa lakini bado zipo na zimenikatisha tamaa...
View ArticleNinafuga kuku aina ya kuchi anayehitaji ninawauza
Nina kuku wa aina hiyo wa ukubwa tofauti ukitaka hata mayai yao yapo ukihitaji nijulishe
View ArticleNamtafuta mtu mwenye utaalam na Matikiti maji
Ndugu habari za mihangaiko.. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye nia ya kuona kila mmoja wetu anafanikiwa ktk malengo au kusaidiana ktk ajira ndogondogo. Tafadhali natafuta kijana mwenye ujuzi na...
View ArticleNatafuta mtu makini wa kushirikiana na mimi kuwekeza katika kilimo.
Salaam Wakuu, Mimi ni kijana muhitimu wa Chuo kikuu. Katika mapambano ya kusaka mkate wa kila siku nimeona ni vema nikajikita katika kujiajiri. Naaam kujiajiri katika sekta ya Kilimo na ufugaji, sasa...
View ArticleKuku WA Nyama(Kisasa)
Habari wandugu na poleni kwa majukumu ,Naomba msaada wenu na ushauri kuhusu kuku wa kisasa wa nyama ,jinsi ya kuwafuga tangu kuwapokea siku ya kwanza hadi kufikia kuwatoa.Chonjo zote na mpangilio wote...
View ArticleNaomba ushauri wa ufugaji wa kuku wa nyama(Kisasa)
Habari wandugu na poleni kwa majukumu ,Naomba msaada wenu na ushauri kuhusu kuku wa kisasa wa nyama ,jinsi ya kuwafuga tangu kuwapokea siku ya kwanza hadi kufikia kuwatoa.Chonjo zote na mpangilio wote...
View ArticleNaomba msaada wa kilimo cha Azolla.
Ndugu wana Jf hasa jukwaa hili LA ujasiriamali na biashara.nilikuwa nauliza je ? Je kilimo cha Azolla mbegu zake hupatikana wapi,na ukilima Soko lake likovipi. Vipi General management yake ikoje?
View ArticleTour fupi ya shamba langu la greenhouse
Habari za asubuhi. Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya...
View ArticleMsaada kuhusu hali ya hewa ifaayo kwa Kilimo cha mitiki
Salaam wadau.Naomba kupata maelekezo kuhusu mikoa ya Tanzania ifaayo kwa Kilimo cha miti jamii ya mitiki.Je mkoa wa kagera hususan Wilaya ya Misenyi inawezekana kwa Kilimo hiki? MTU mwenye ekari moja...
View ArticleHawa ndio wachimbaji visima
Habari wa jf...Tawa Water Proffesional ni kampuni inayojihusisha na masuala ya uchimbaji wa visima virefu na vifupi kwa matumizi mbalimbali 1: kwa ajili ya matumizi ya binadamu eg. Kupikia,kunywa au...
View ArticleWanunuzi wa Mbaazi wa AZAM
Wana Jf nauza mbaaz kuna mtu aliniambia kuwa AZAM wananunua kwa bei nzuri ila kwa sasa hawapo Dar wako mashambani na me sina mawasiliano yao hvyo naomba msaada kwa yeyote mwenye mawasiliano yao...
View ArticleNatafuta Mbegu ya Vitunguu Maji
Nipo Meatu kwa Muda,ila Nyumbani ni Iramba! Naitaji Mbegu Ya Vitunguu ya Kutosheleza Heka Moja! Mwenye Nayo Naomba Anipe Bei Tufanye Biashara
View ArticleMsaada: Je udongo wa mfinyanzi unafaa kwa kilimo cha mahindi na maharage?
Wadau naomba kujua udongo wa mfinyanzi mweusi tiii kama unafaa kwa mazao ya mahindi, maharage, etc na miti kama graveria etc. Naomba kujua kama unafaa kununua!
View ArticleMsaada juu ya Rufiji river development basin
habar za jioni ndugu zangu, mimi ni kijana naitaji kujua jinsi ya kuweza kupata eneo maeneo yanayozunguka rufiji ,natakiwa nianzie wapi? je ni kweli awa jamaa wanaweza wakakupa eneo, na vitendea kazi...
View Article