habar za jioni ndugu zangu,
mimi ni kijana naitaji kujua jinsi ya kuweza kupata eneo maeneo yanayozunguka rufiji ,natakiwa nianzie wapi? je ni kweli awa jamaa wanaweza wakakupa eneo, na vitendea kazi vya vya kilimo? kama ni kweli mchakato unaanzaje?