Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Natafuta mtu makini wa kushirikiana na mimi kuwekeza katika kilimo.

$
0
0
Salaam Wakuu,
Mimi ni kijana muhitimu wa Chuo kikuu. Katika mapambano ya kusaka mkate wa kila siku nimeona ni vema nikajikita katika kujiajiri. Naaam kujiajiri katika sekta ya Kilimo na ufugaji, sasa nimeona ni vema nimtafute kijana/vijana mwenzangu tuunganishe nguvu na tufanye kitu kimoja chenye kutuletea kipato halali.
Karibuni wadau.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>