Panya wanamaliza mazao yangu, msaada tafadhali
Nimejitahidi kumaliza panya hawa lakini naona inakuwa KAZI ngumu sana, kwani wanakula mazao chini kwa chini unachokuja shtuka ni mmea unadondo tu. Ufumbuzi tafadhali. Natamani nipate mlinzi wa shamba...
View ArticleNatafuta anayeuza mayai ya kisasa
Habarin wana jf natafuta mfugaji wa kuku anaeuza mayai kwa bei ya jumla nipo dar es salaam Boko namba yangu n 0658936439
View ArticleNanunua mayai ya jumla ya kisasa-Dodoma
Natafuta mfugaji wa kuku anayeuza mayai ya kisasa kuanzia treyi 10, bei shillingi 6,000 kwa treyi. Muuzaji awe dodoma, kama unayo nicheki 0714112838. Thanks in advance
View ArticleMradi wa utotoleshaji wa vifaranga unalipa
Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka...
View ArticleKilimo cha viazi mviringo
UTANGULIZI Viazi mviringo ni zao muhimu la chakula na biashara katika nchi nyingi zilizoendelea na zinazoendelea. Viazi husitawi vizuri sehemu za miinuko, kati ya meta 1300 na 2700 juu ya usawa wa...
View ArticleMashine ya kutotolesha mayai 300 inauzwa
Habar Kwa mawasiliano ya bei 0717221590. Bado mpya ina miezi 4 tu.
View ArticleMsaada nataka kufungua m-pesa, tigo pesa na airtel money
Wanajukwaa naomben mawazo hasa wanaojua hii biashara ninapenda kujua mfumo wa faida yake na gharama za kuanzisha na je line zake zinapatkanaje nina mtaj wa milion moja nawasilisha
View ArticleUzoefu M-Pesa, Tigopesa tafadhali
Naombeni msaada wakuu,nahitaji kuanzisha biashara ya mpesa na tigo pesa.Mwenye uzoefu na biashara hii naombeni anijuze yafuatayo 1.Jinsi ya kupata line hizo 2.Je ni mtaji at least wa shs ngapi nikianza...
View ArticleKilimo cha Mihogo(Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake
Wakuu, Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi. Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo yafuatayo: 1....
View ArticleMafuta ya mawese
Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya. Tafadhali anaefahamu yanapouzwa/kama unauza ni sh.ngapi kwa dumu la lita 20.
View ArticleKilimo cha nyanya kwa mbegu za Anna
Habari ndugu zangu.... Mimi nimeingia kwenye kilimo. Sasa natayarisha shamba kwaajili ys kupanda nyanya, tafadhali naomba msaada kwa ambaye ameshatumia mbegu za ANNA. Je, ni kweli zinazaa miezi nane...
View ArticleKilimo cha mboga mboga
Nataka nilime mboga mboga nnje kidogo ya jiji la Dar es salaam kisha soko liwe maeneo ya Dar, kwa wazoefu naomba ushauli na maelezo juu ya kilimo hiki cha mboga kama mchicha, chainizi, na majani ya kunde
View ArticleJe, Waamini kama sukari inatibika kilahisi zaidi? Maamuzi tunayo wenyewe,...
Glucoblock Capsule Regulate Sugar level a.- -It improves circulation of the collateral branch and reallocation of the blood stream, regulate microcirculation and metabolism of the pancreas, so as to...
View ArticleVijana turudi vijijini tununue ardhi ya kilimo
VIJANA TURUDI VIJIJINI TUNUNUE ARDHI Na Eng AYUB MASSAU Habari ndugu watanzania popote mlipo katika kuijenga nchi yetu ya Tanzania na kuhakikisha tunafikia nchi ya uchumi wa kati kama dira ya Taifa ya...
View ArticleKilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na masoko yake
Kwa mwana JF yeyote mwenye ujuzi na uzoefu wa kilimo cha viazi naomba anipe detail kuhusu kilimo hicho. Yaani kwa mfano, nikitaka kulima hekari moja natakiwa kuwa mtaji wa kiasi gani? Na vipi namna ya...
View Articlemaafisa Mifugo wa vijiji\kata
Wakuu naomba kujua kuhusu utaratibu wa kuwatumia maafisa Mifugo wa serikali. Je wakija kunitibia Mifugo yangu natakiwa kuwalipabei gani?
View ArticleGreen House expert
Habari? Aise natafuta kampuni reliable (isiyo na magumashi) wanaoweza kunitengenezea green house. Kama wewe ni muhusika au unamfahamu muhusika au kampuni nijulishe kupitia 0713158779 au PM. Kazi ni...
View ArticleGreen House expert anahitajika
Habari? Aise natafuta kampuni reliable (isiyo na magumashi) wanaoweza kunitengenezea green house. Kama wewe ni muhusika au unamfahamu muhusika au kampuni nijulishe kupitia 0713158779 au PM. Kazi ni...
View ArticleMtaji wa laki 3 naweza kufanya biashara gani
Nataman kujiajiri mwenyewe..je mtaj wa 3 naweza kujiajir na biashara gani wana jf.?..naomben mawazo yenu kama mdogo wenu na ntayafanyia kaz mana naamin naweza na ipo siku i can mek it yes in my...
View Article