VIJANA TURUDI VIJIJINI TUNUNUE ARDHI
Na Eng AYUB MASSAU
Habari ndugu watanzania popote mlipo katika kuijenga nchi yetu ya Tanzania na kuhakikisha tunafikia nchi ya uchumi wa kati kama dira ya Taifa ya maendeleo 2000-2025inavyosema, naamini tukifika huko kila mtanzania atajivunia kwa namna alivyofanikisha mchango wake katika Taifa hili na historia ya vizazi na vizazi itamkumbuka.Leo katika tafakuri yangu, nitajikita kuzungumzia umuhimu wa kununua ardhi na namna ilivyonufaisha vijana wengi...
Vijana turudi vijijini tununue ardhi ya kilimo