Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live
↧

Naomba ushauri kuhusu kilimo cha kunde

Naomba ushauri kwa wenye uzoefu na kilimo cha kunde.. Napenda kujua mbegu bora za muda mfupi na mavuno yake kwa heka moja yanakuwaje? Napenda kuwasilisha.

View Article


Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa...

NEW NEW NEW.....NEW 19/05/2016 PDF YA KAROTI ((Carot=Daucus Carota) IMEKAMILIKA Ina kurasa 14 YALIYOMO 1.MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU KUHUSU KILIMO CHA KAROTI -Mahitaji ya hali ya hewa (Aina ya Udongo,...

View Article


Jifunze kutengeneza sabuni

Ili iitwe sabuni inatakiwa -Ngumu kuiisha -Yenye povu jingi -Nyeupe VIAMBATA VYA kutengenezea sabuni 1)Mafuta-mawese,mise,wanyana 2)Maji 3)Caustic soda(costiki soda) VIFAA VYA KUTENGENEZEA -Ndoo za...

View Article

fish cage aquaculture

niko kanda ya ziwa. ufugaj wa samak kwa njia ya 'cages' nimekuta ni uwekezaj mzur kwa faida ya maana kama nilivyoshuhudia Uganda. anayejua undan wa ufugaj huu na risks zake na sheria zinazosimamia maji...

View Article

Je ninahitaji kuwalipa maafisa Mifugo wa vijiji\kata

Wakuu naomba kujua kuhusu utaratibu wa kuwatumia maafisa Mifugo wa serikali. Je wakija kunitibia Mifugo yangu natakiwa kuwalipabei gani?

View Article


Natafuta soko la mihogo

Wadau naomba kupata msaada wa soko la muhogo. Nimelima muhogo natarajia kuanza kuvuna mwezi wa sita na wa saba. Shida Yangu ni kupata soko ambalo litaniwezesha kuuza kwa pamoja.

View Article

Naomba kufahamu heka moja inaingia miche mingapi ya Mihogo

Wakuu naomba kufaham kwa anaefahamu, Kama utapanda kitaalamu kwenye heka moja kunaingia mashina mangapi ya muhogo?

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana wasomi waeleza wanavyofanikiwa katika kilimo cha vitunguu

VIJANA wasomi wanaounda Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Tanzania (TAYODA) wameeleza mafanikio wanayopata baada ya kuamua kujikita katika kilimo cha vitunguu tangu mwaka 2013, muda mfupi baada ya...

View Article


Ufugaji wa kuku wa mayai

Za sahizi ndugu... Naomba kujua mbegu nzuri ya kuku wa mayai ..... Kwani nataka kufuga kuku wa mayai ila nimeambiwa inabidinijue mbegu gani ni nzuri kwa kufuga hapa jijini DSM. Asanteni

View Article


Ushauri kuhusu biashara ya Nafaka

Habarin ndugu zangu me ni mfanya biashara nafanya biashara ya nafaka na kukufikia popote ulipo na pia kwa ushaur wa biashara ya nafaka pls contact me thru +255719553454/ +255787607207 / +255758909041...

View Article

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na masoko

Wakuu salamu. Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji....

View Article

Ushauri kuhusu kilimo cha bamia

Habari wadau, natamani sana kulima Bamia ila sijui hali yake kisoko. Naomba ushauri wenu ndugu zangu. Na ikiwa unalo wazo mbadala la zao zuri la kilimo linalokomaa na kuuzika kwa mda mfupi usisite...

View Article

Mtaji wa vifaranga vya kuku wa kienyeji 25 wa week 3.

Nimefanikiwa kupata kianzio cha vifaranga vya kuku wa kienyeji ambao nimewakusanya kutoka sehemu tofauti tofauti. Shida yangu ni moja tu muongozo wa jinsi ya kuwafanya wakue vizuri. Nina banda tayari,...

View Article


Maharage ya kijani(green beans/french beans)

Habari wanajukwaa,naomba kuuliza kwa yeyote anaejua upatikanaji wa maharage ya kijani (french beans/green beans) hapo bongo.hapa nilipo nayaona yanakuja kutoka kenya,hivyo nahisi hata bongo...

View Article

Natafuta kuku / vifaranga vya kuku wa kienyeji wa mwezi mmoja Kwa Morogoro

Wakuu Nina uhitaji wa kuku wa kienyeji wa kufuga / vifaranga wenye umri WA mwezi mmoja na zaidi Kwa sehemu Za Morogoro. Kama kuna mtu anaweza kuwa nao Naomba tuwasiliane. Wanahitajika Kwa wingi.

View Article


Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Kutokana na ongezeko la maswali ya wadau wengi juu ya ufugaji wa kuku aina hii, tumeonelea ni vema tukauweka mjadala huu vema kuweza kuwasaidia wafugaji na wanunuaji wa vifaranga/kuku wa aina hii. Kuku...

View Article

Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

Habari za asubuhi. Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya...

View Article


Kwa wakulima na wafanyabiashara

Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri 0625748072

View Article

hivi kuna benki zinakopesha walioajiriwa na watu binafsi.

wandugu mimi nimeajiriwa kwa mkataba kwa mtu binafsi huu mwaka wa tatu. take home ni 900,000 Tsh. bosi wangu anawafanyakazi 10. je kuna benki inaweza nikopesha?

View Article

Tujuzane maabara za vyakula vya mifugo hapa Dar.

Habari zenu, nlikuwa naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu juu yq maabara za mifugo kwa hapa Dar, mahali zilipo. Natanguliza shukran zangu

View Article
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>