Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

fish cage aquaculture

$
0
0
niko kanda ya ziwa. ufugaj wa samak kwa njia ya 'cages' nimekuta ni uwekezaj mzur kwa faida ya maana kama nilivyoshuhudia Uganda. anayejua undan wa ufugaj huu na risks zake na sheria zinazosimamia maji na mazingira anijuze ingawa ninazo fundamental substances za mrad husika. nahitaj kuanzisha. na anayehitaj tushirikiane tuwasiliane kupashana

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>