Green House expert anahitajika
Habari? Aise natafuta kampuni reliable (isiyo na magumashi) wanaoweza kunitengenezea green house. Kama wewe ni muhusika au unamfahamu muhusika au kampuni nijulishe kupitia 0713158779 au PM. Kazi ni...
View ArticleNaomba ushauri wa ufugaji wa kuku wa nyama(Kisasa)
Habari wandugu na poleni kwa majukumu ,Naomba msaada wenu na ushauri kuhusu kuku wa kisasa wa nyama ,jinsi ya kuwafuga tangu kuwapokea siku ya kwanza hadi kufikia kuwatoa.Chonjo zote na mpangilio wote...
View ArticleNailoni za green house
Wakuu habari zenu Naomba kujuzwa eti zile nailoni za green house pale Arusha wanaziuzaje.
View ArticleMsaada: Muda Gani Unafaa kwa Ajili Ya kilimo Cha Karanga
Kichwa cha Habari kinahusika. Nina ekari moja ya ardhi ambayo nataka kuitumia kwa ajili ya kilimo. Kwa kuanza nimeonelea nianze na zao la karanga lkn nakumbwa na kikwazo kimoja tu ambacho ni uzoefu....
View ArticleKilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
Jamani habarini za wikiendi, naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi...
View ArticleUfugaji wa mbwa kibiashara na dog training
Hello Jf, The other day I posted that I was selling a dog for $2000 and the responses I got,well while some were appreciative others were down sarcastic but most of all misinformed about the dog world....
View ArticleKilimo cha viazi mviringo
Wadau nahitaji kulima viazi mviringo maeneo ya mbeya au njombe hivyo naomba mwenye information zitakazoweza kunisaidia anijuze kwani sijawahi kulima hata Mara moja
View ArticleKilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau
KILIMO BORA CHA UFUTA Ufuta (sesamum indicum)ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya. Zao...
View ArticleJenga Greenhouse kwa gharama nafuu
Nauza Materials na kusadia ujenzi wa Greenhouse za ukubwa mbali mbali. Kwa sasa Nina materials zinazoweza kucover greenhouse ya ukubwa wa mita nane kwa mita kumi na tano (8x15m), Zina uwezo wa kuzuia...
View ArticleKilimo cha apple
Habari waungwana. natamani sana kuingia kwenye kilimo hasa cha matunda kama apple lakina nashidwa kujua kiutaram ni mazingira gan yanakubari na uoteshaji wake upoje, aksanteni sana, KARIBUNI KWA...
View ArticleUfugaji wa Nguruwe: Utaalam na Masoko
View attachment 324772 - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,...
View ArticleKwa wakulima na wafanyabiashara
Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri 0625748072
View ArticleUshauri kwa wafuga mbwa
Mbwa ni mnyama anayependa kula sana, kila akionacho kilichonona au chenye harufu nzuri basi hukitamani na hili hasa huwapa shida sana wafugaji wengi. Dawa ya kulidhibiti hili ni kumlisha chakula bora...
View ArticleVijana turudi vijijini tununue ardhi ya kilimo
VIJANA TURUDI VIJIJINI TUNUNUE ARDHI Na Eng AYUB MASSAU Habari ndugu watanzania popote mlipo katika kuijenga nchi yetu ya Tanzania na kuhakikisha tunafikia nchi ya uchumi wa kati kama dira ya Taifa ya...
View ArticleNamtafuta mtu mwenye utaalam na Matikiti maji
Ndugu habari za mihangaiko.. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye nia ya kuona kila mmoja wetu anafanikiwa ktk malengo au kusaidiana ktk ajira ndogondogo. Tafadhali natafuta kijana mwenye ujuzi na...
View ArticleJe, Waamini kama sukari inatibika kilahisi zaidi? Maamuzi tunayo wenyewe,...
Glucoblock Capsule Regulate Sugar level a.- -It improves circulation of the collateral branch and reallocation of the blood stream, regulate microcirculation and metabolism of the pancreas, so as to...
View ArticleUshauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake
MIGOMBA - KANUNI ZA KILIMO BORA Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya...
View ArticleKilimo bora cha zao la TUFAA (apple)
Habari waungwana. natamani sana kuingia kwenye kilimo hasa cha matunda kama apple lakina nashidwa kujua kiutaram ni mazingira gan yanakubari na uoteshaji wake upoje, aksanteni sana, KARIBUNI KWA...
View ArticleMINOFU URAYA MIFUPA TANZANIA
HABARI wanajamvi, napenda kujua juu ya mazao ya uvuvi nchini mwetu. tuna maziwa, tuna bahari lakini cha ajabu hatuna fishing industry tunaishia kuwaachia exploiters mali na sisi kubaki tukila nyasi na...
View Article