Mbwa ni mnyama anayependa kula sana, kila akionacho kilichonona au chenye harufu nzuri basi hukitamani na hili hasa huwapa shida sana wafugaji wengi.
Dawa ya kulidhibiti hili ni kumlisha chakula bora mara kwa mara ili awe ameshiba wakati wote na siyo kumfunga mnyororo shingoni kwani akipata nafasi kidogo tu hutafuna chochote kilicho mbele yake bila kujali kama ni chakula kweli au sumu.
Tatizo kubwa la wafugaji wengi kama siyo wote ni kutokuwa na uwezo wa kumfanya huyu mbwa ashibe. Wafugaji...
Ushauri kwa wafuga mbwa