Urbun food project"Tujiandae kutumia maeneo madogo kwa kilimo
Urbun Food Project ni aina ya mradi ambao unamanufaa kwa wakazi wa mijini.Nivyema tukatumia maeneo madogo tuliyonayo kuzalisha chakula salama na kwa tija pia.Lengo ni kutumia maeneo madogo ya mijini...
View ArticlePata ushauri, michango, mawazo juu ya Ufugaji wa Samaki
Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato,...
View ArticleJamani vibonge mpo? Mbona ushirikiano umepungua? Inamaana sote tumebakia modo?
SLIM & TRIMS 1; PRO-SLIM TEA * Accelerates metabolism and degradation of fat * Burn fat as fuel to reduce the lipid content of the body * Reduce absorption of dietary fat and helps lose weight 2....
View ArticleUfugaji wa kuku wa kienyeji na masoko yake
Naomba ufafanuzi juu ya ufugaji wa kukua wa kienyeji kisasa zaidi na masoko yake kwenye kuuza kuku pamoja na mayai.
View ArticleKilimo cha Mbaazi
Habari wanakilimo wenzangu, Mwenye ushauri na soko la mbaazi na wanunuzi wa bei nzuri wa hili zao,Shamba langu lipo morogoro.
View ArticleUshauri kuhusu kilimo cha bamia
Habari wadau, natamani sana kulima Bamia ila sijui hali yake kisoko. Naomba ushauri wenu ndugu zangu. Na ikiwa unalo wazo mbadala la zao zuri la kilimo linalokomaa na kuuzika kwa mda mfupi usisite...
View ArticleKwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko
Habari wana jf, katika kukimbizana na maisha ninampango wa kulima mbaazi na choroko mkoani mtwara, zinastawi sana. nipo katika mchakato wa kujua soko/wanunuzi wakubwa hapa nchini ili niwe na uhakika na...
View ArticleBiashara ya mishikaki
Habari wanajamvi! Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mishikaki has a inayouzwaa barabarani karibu na vituo vya daladala. Ni maarufu sana kwa mkoa wa Dar es salaam. Mwenye experience nayo anijuze mtaji...
View ArticleNataka kujua kilimo cha zao la mpira (crude Rubber) Tanzania
Nataka kujua ni mkoa gani unajihusisha na kilimo cha zao la Mpira? au kampuni gani ninajihusisha na zao la mpira?
View ArticleNaomba taarifa kuhusu soko la mbaazi
Habari wanakilimo wenzangu, Mwenye ushauri na soko la mbaazi na wanunuzi wa bei nzuri wa hili zao,Shamba langu lipo morogoro.
View ArticleVijana wasomi waeleza wanavyofanikiwa katika kilimo cha vitunguu
VIJANA wasomi wanaounda Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Tanzania (TAYODA) wameeleza mafanikio wanayopata baada ya kuamua kujikita katika kilimo cha vitunguu tangu mwaka 2013, muda mfupi baada ya...
View ArticleNiliingia shambani kulima na sasa nauza mazao (VITUNGUU MAJI)
Habari wanaJF niliamua kurudi kwenye uti wa mgongo wa mtanzania na sasa navuna na ninauza vitunguu maji vyekundu(fresh red onion). Kama unaitaji niibox kwa maelezo zaidi.
View ArticleBei ya Molases na Upatikanaji wake.
Naombeni kuuliza bei ya molases kwa lita au tani. Inapatikana wapi? Na kwa kiasi gani?
View Articlejipatie proposal kwa ajili ya ruzuku
Habari , nimekuwa nikiandika proposal kwa ajili ya utunzaji wa mazingira na kupata ruzuku kutoka kwenye mashirika . Sasa nimeandika proposal tatu moja ikiwa yangu tayari kwa kukusanywa for evaluation...
View ArticleNakodisha VITI & TURUBAI
Habari wanaJF, Naomba sana mniunge mkono kwenye mradi huu wa kukodi popote upatapo Harusi, Misiba ama Shughuli yoyote. Tupigie kupitia 0712-156565 na 0672-444447. Bei zetu ni Tzs50,000 kwa Tent kwa...
View ArticleKilimo,soko na faida za Uyoga
Habari wana JF. Ninajaribu kujifunza kuhusu kilimo cha uyoga na pia ninaperuzi na masoko yake. Nataka kuwa mkulima wa uyoga lakini nataka kwanza nijue namna ya kutoa uyoga bora na kupata masoko ya...
View ArticleKuhusu Janga la Njaa Linaloweza kuikumba Tanzania
Nimesikia na kuona viongozi wengi wakiliongelea swala hili, na Magesa Mulongo asema hivi
View ArticleJe ninahitaji kuwalipa maafisa Mifugo wa vijiji\kata
Wakuu naomba kujua kuhusu utaratibu wa kuwatumia maafisa Mifugo wa serikali. Je wakija kunitibia Mifugo yangu natakiwa kuwalipabei gani?
View ArticleVifaranga wa kuku wa kienyeji- Iringa
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Toa order yako mapema, unaweza kupata vifaranga at least 100 kila wiki (uwezo wangu ni kutoa vifaranga 150 kwa wiki) Wewe utaamua unahitaji wenye umri gani,...
View Article