Habari wana jf,
katika kukimbizana na maisha ninampango wa kulima mbaazi na choroko mkoani mtwara, zinastawi sana. nipo katika mchakato wa kujua soko/wanunuzi wakubwa hapa nchini ili niwe na uhakika na ninachokifanya. pia mwenye uzoefu na kilimo cha mazao haya naomba anijuze changamoto zake.
ahsante