Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Biashara ya mishikaki

$
0
0
Habari wanajamvi!

Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mishikaki has a inayouzwaa barabarani karibu na vituo vya daladala.

Ni maarufu sana kwa mkoa wa Dar es salaam. Mwenye experience nayo anijuze mtaji kwa kuanzia ni shilingi ngapi? Na kijana anayechoma unamlipa shilingi ngapi kwa siku? Pia ushauri na maoni yanakaribishwa. Natanguliza shukrani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>