Habari wanaJF niliamua kurudi kwenye uti wa mgongo wa mtanzania na sasa navuna na ninauza vitunguu maji vyekundu(fresh red onion). Kama unaitaji niibox kwa maelezo zaidi.
↧