VIJANA wasomi wanaounda Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Tanzania (TAYODA) wameeleza mafanikio wanayopata baada ya kuamua kujikita katika kilimo cha vitunguu tangu mwaka 2013, muda mfupi baada ya kumaliza elimu yao ya vyuo vikuu.
Vijana hao wanaomiliki shamba lenye ukubwa wa heka 300 katika kijiji cha Idodoma wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, wamewataka vijana...
Vijana wasomi waeleza wanavyofanikiwa katika kilimo cha vitunguu