Habari , nimekuwa nikiandika proposal kwa ajili ya utunzaji wa mazingira na kupata ruzuku kutoka kwenye mashirika . Sasa nimeandika proposal tatu moja ikiwa yangu tayari kwa kukusanywa for evaluation kabla ya kupata ruzuku yenyewe . Sasa nauza proposal mbili kila moja nauza shilingi laki mbili. Kinachohitaji ni angalau uwe na shamba japo hekari moja na utaweza pata ruzuku kuanzia 3m to 6m. kuna nafasi kubwa ya kupata ruzuku hiyo. Kwa anayehitaji ani pm ndani ya wiki mbili kutoka leo
↧