$ 0 0 Wakuu naomba kujua kuhusu utaratibu wa kuwatumia maafisa Mifugo wa serikali. Je wakija kunitibia Mifugo yangu natakiwa kuwalipabei gani?