Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Kilimo,soko na faida za Uyoga

$
0
0
Habari wana JF.

Ninajaribu kujifunza kuhusu kilimo cha uyoga na pia ninaperuzi na masoko yake. Nataka kuwa mkulima wa uyoga lakini nataka kwanza nijue namna ya kutoa uyoga bora na kupata masoko ya uhakika.

Nimelima kidogo awamu ya kwanza ya kujifunzia ambao nilifanya wa kula mwenyewe na kugawa mtaani kwangu, sasa ndiyo naingia ulingoni rasmi.

Kama kuna mwenye ushauri na maelekezo zaidi itakuwa bora kwangu!

Wapi masoko ya uhakika ni jambo la msingi kuliko la kuuza mtaani....

Kilimo,soko na faida za Uyoga

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>