Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live
↧

Vifaranga wa kuku wa kienyeji- Iringa

View Article


Msaada: Wapi pa kupata cage za kufugia kuku wa mayai?

Habari watu wa jamii forums, katika kuperuzi mitandao nikaona kwenye mtandao wa youtube ufugaji wa kuku wa kisasa kwa kuwaweka kwenye cage, yaani ufugaji huu ni wa ufanisi wa juu kweli. Hata kuku...

View Article


Chakula cha kuku - dagaa toka Kanda ya Ziwa

Wana JF kama unahitaji dagaa wa chakula cha kuku tuwasiliane 0713563074. Asante

View Article

Kwa wafugaji wa kuku wa kisasa

Hey JF Members. Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya...

View Article

Kwa aliye tayari, tufungue biashara hii

View Article


Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

Wanajamii, Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato. Kifuniko said: ↑ Naombwa kujuzwa wana jamvi na kupewa...

View Article

Manufaa ya Ujasiliamali kwa njia ya mtandao

Mimi ni Mtanzania mjasiliamali mchoraji wa nembo (logo). Hapa nakuonesha baadhi ya kazi ambazo nimewafanyia wateja mbalimbali kutoka nje ya nchi katika kipindi kifupi. Hii ni changamoto kwa...

View Article

Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Kutokana na ongezeko la maswali ya wadau wengi juu ya ufugaji wa kuku aina hii, tumeonelea ni vema tukauweka mjadala huu vema kuweza kuwasaidia wafugaji na wanunuaji wa vifaranga/kuku wa aina hii. Kuku...

View Article


Kilimo cha Mihogo(Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

Wakuu, Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi. Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo yafuatayo: 1....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hydroponics formul for toma

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hydroponic formula for carrots

View Article

Mimi ni Mtaalamu wa kilimo

Natoa ushauri kuhusiana na ukulima wa mazao mbalimbali pia usimamizi wa shamba kuanzia kuandaa shamba kupanda mpaka hatua ya uvunaji pia kuchukua rekodi ya ukuaji wa mazao yako lima kwa faida ukitumia...

View Article

Ufugaji wa Nguruwe: Utaalam na Masoko

View attachment 324772 - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,...

View Article


Ushauri kuhusu kilimo cha bamia

Habari wadau, natamani sana kulima Bamia ila sijui hali yake kisoko. Naomba ushauri wenu ndugu zangu. Na ikiwa unalo wazo mbadala la zao zuri la kilimo linalokomaa na kuuzika kwa mda mfupi usisite...

View Article

Kilimo na soko la Karanga mbichi

Habari zenu Wajasiliamali! Nakuja tena wadau hasa kwa wale wenye idea juu ya zao na la karanga katika soko na kilimo chake naombeni uzoefu wenu,juu ya zao ilo na changamoto zake hasa katika kulilima na...

View Article


Mtaji wa laki 3 naweza kufanya biashara gani

Nataman kujiajiri mwenyewe..je mtaj wa 3 naweza kujiajir na biashara gani wana jf.?..naomben mawazo yenu kama mdogo wenu na ntayafanyia kaz mana naamin naweza na ipo siku i can mek it yes in my...

View Article

MBEGU ZA MBOGAMBOGA ZA MAJANI

Nauza mbegu za mbogamboga za majani jumla na lejaleja, 1.mbegu ya majani ya maboga. 2. mbegu ya figili. 3. mbegu ya mchicha(super lishe) &)(lishe)

View Article


Wakulima wananyonywa Halmashauri zakosa Ushuru

Vyombo vya serikali na mamla husika chukueni hatua Mimi ni mdau mkubwa kwenye zao la ufuta na nimekuwa nafuatilia sana zao hili kwa muda sasa. kwanza nianze kwa msimu uliopita. Mwaka jana kiasi cha...

View Article

Natafuta mtu makini wa kushirikiana na mimi kuwekeza katika kilimo

Salaam Wakuu, Mimi ni kijana muhitimu wa Chuo kikuu. Katika mapambano ya kusaka mkate wa kila siku nimeona ni vema nikajikita katika kujiajiri. Naaam kujiajiri katika sekta ya Kilimo na ufugaji, sasa...

View Article

Ushauri kuhusu kilimo cha mpunga

Nahitaj ushaur wenu.. . Ni shamba la ekari ngap naweza kutoa gunia 100 la mpunga au gunia 90 za mchele??

View Article
Browsing all 7825 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>