Vyombo vya serikali na mamla husika chukueni hatua
Mimi ni mdau mkubwa kwenye zao la ufuta na nimekuwa nafuatilia sana zao hili kwa muda sasa. kwanza nianze kwa msimu uliopita. Mwaka jana kiasi cha ufuta kilichouzwa nje ya nchi ni tani 139,200+ sawa na kilo 139,200,000. kutoka kwenye halmashauri kari 33 nchini zinazolima zao hilo kwa wingi hapa nchini zikiongozwa na na za Mkoa wa Lindi. takwimu zilizopo (kutokana na ushuru uliolipwa) ni Tani 77.3 hivi maana yake zaidi ya tani 62,000...
Wakulima wananyonywa Halmashauri zakosa Ushuru