napata wapi mbegu za mchicha(lishe au superlishe)?
wanajamvi salaam... mimi ni mkulima mdogo wa mbogamboga.... sasa huku kwetu(G/mboto) baada ya mvua kuisha mbegu za mchicha zimekua adim sana... baadhi tumeenda mpaka buguruni na bado hakuna mbegu.......
View ArticleBaada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze...
Baada ya kumaliza degree yangu ya pili na kuona kuwa ajira kama ajira haiwezi kuwa mkombozi wangu kiuchumi niliamua nifatilie mawazo mbalimbali ya ujasiriamali. Nikafikiria ujasiriamali wa kiubunifu wa...
View ArticleKilimo cha Mihogo(Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake
Wakuu, Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi. Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo yafuatayo: 1....
View ArticleUfugaji wa kuku wa kienyeji na masoko yake
Naomba ufafanuzi juu ya ufugaji wa kukua wa kienyeji kisasa zaidi na masoko yake kwenye kuuza kuku pamoja na mayai.
View ArticleMsaada: Jinsi ya kutengeneza banda la kuku la kisasa
Wapendwa nahitaji kufuga kuku wa kienyeji na ninao kama kuku 10 sasa nahitaji wawe na banda imara na la kisasa sasa sijajua ni vifaa vp vinahitajika ktk banda na ni chakula kipi chenye kufaha
View ArticleUshauri -Kilimo cha Muda Mfupi
Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya kilimo! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums. Leo nimefarijika sana kuja huku...
View ArticleGharama za uendeshaji wa gari
GHARAMA ZA UENDESHAJI WA GARI - APRIL 2012.​ Watu wengi wemekuwa na mtazamo kwamba gharama ya uendeshaji wa gari linapotembea ni mafuta yanayotumika tu. Gharama za uendeshaji wa gari zimegawanyika...
View ArticleNIMEAMUA KULIMA NAOMBA MSAADA
Wanjamvi habari zenu... Kutokana na ukakasi wa maisha nimeamua kujiajiri katika kilimo naomba msaada wa kupata eneo zuri la mazao ya nataka ambayo nimewaza kuwa na ya kusambaza nafaka katika mahotel na...
View ArticleNahitaji automatic incubator yenye uwezo wa mayai 96
Wana-JF naomba msaada, nahitaji sana automatic incubator yenye uwezo wa mayai 96, pia kama kuna muuzaji tutazungumza.
View ArticleKilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko
Jamani habarini za wikiendi, naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake? Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi...
View ArticleKILIMO..KILIMO..KILIMO...
Msaada wa KILIMO katika bonde la mto ruvu mwenye taarifa nitafute pliz nahitaji eneo, na maelekezo Fulani 0625520125
View ArticleMiliki eneo la kilimo cha mpunga kwa bei isiyozidi laki 1
kwa anayependa kumiliki eneo lake kwa kilimo cha mpunga kwa bei isiyozidi laki moja View attachment 351567 View attachment 351567
View ArticleZijue Mbinu zangu: Ufugaji Kuku wa Kienyeji
Wana Jf, Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga...
View ArticleKwa wafugaji wa kuku wa kisasa
Hey JF Members. Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya...
View ArticleUfugaji wa Nguruwe: Utaalam na Masoko
View attachment 324772 - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,...
View ArticleTour fupi ya shamba langu la greenhouse
Habari za asubuhi. Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya...
View ArticleWatafiti wabaini aina 800 za mbegu ya ngano
Watafiti wa Mbegu nchini wamebaini kuwepo kwa aina 800 ya mbegu za ngano, huku baadhi ya mbegu hizo zikiwa na uwezo wa kustawi hata kwenye maeneo yenye joto kali hadi nyuzi joto 40, na kufanya zao hilo...
View ArticleMsaada: Nahitaji kujua mikoa inayozalisha Miwa kwa wingi
Wakuu salam Nina project yangu ambayo mali ghafi kuu ni miwa.( sio sukari). Project hii itafanyika Dar ambapo nataka kufungua small scale sugarcane juice ambayo inakua bottled. Hivyo Nahitaji kujua...
View Article