Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Ushauri -Kilimo cha Muda Mfupi

Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya kilimo! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums.

Leo nimefarijika sana kuja huku na kukutana na wana JF ambao wana new ideas na bado hamjakuwa corrupted na wanasiasa.

Sasa naomba ushauri kuhusu kilimo cha mazao ya muda mfupi na maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo hicho.
Asanteni.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>